sam wa habari
Wednesday, 22 October 2014
Detroit Pistons Wamuacha Hasheem Thabeet. Timu ya mpira wa Kikapu ya Detroit Pistons imesitisha mikataba ya wachezaji wanne wakubwa akiwemo Mtanzania Hasheem Thabeet. Hasheem alichezea timu hio baada ya kutoka Philadelphia 76ers ambao walimnunua kutoka Oklahoma City Thunder August 26.Oklahoma City walipokea dola $1.25 walivyomuuza Hasheem Thabeet. Wachezaji wengine walioachwa ni Brian Cook,Josh Bostic na Lorenzo Brown..
Saturday, 18 October 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)