Detroit Pistons Wamuacha
Hasheem Thabeet.
Timu ya mpira wa Kikapu ya Detroit Pistons
imesitisha mikataba ya wachezaji wanne
wakubwa akiwemo Mtanzania Hasheem
Thabeet. Hasheem alichezea timu hio baada
ya kutoka Philadelphia 76ers ambao
walimnunua kutoka Oklahoma City Thunder
August 26.Oklahoma City walipokea dola
$1.25 walivyomuuza Hasheem Thabeet.
Wachezaji wengine walioachwa ni Brian
Cook,Josh Bostic na Lorenzo Brown..
No comments:
Post a Comment